2026 FIFA World Cup - Special Thread

2026 FIFA World Cup - Special Thread

Argentina wanaenda nusu fainali. Ushindi wa magoli 3-1 dhini ya uswiss. Magoli ya McAllister, Julia Alvarez na Lautaro Martinez.
Leonel Messi ameshindwa kupata goli leo ili aongeze kumzidi Mbape.
Argentina watakutana na Watanashati Uingereza siku ya tarehe 15 saa 4 usiku.
Umesahau kumtia kisukari na presha Scars kwamba MESSI 🐐 🔥 katia assist 1 kashika rekodi ya dunia tangu iumbwe
 
Kwenye soka lolote linaweza kutokea lakini sioni namna gani Wanaweza kupambana na Argentina. Argentina safari yake itafika mwisho kama atakutana na England semi final
Naomba nipe kesi ya UHAINI haya maneno yako uchwara yakitimia...
Kaa ukijua fainali itakuwa ni
Argentina vs Spain
Na Messi 🐐 anabeba WC back to back
 
Back
Top Bottom