2026 FIFA World Cup - Special Thread

2026 FIFA World Cup - Special Thread

Mkuu dharau pelekeaa dada zako au unganisha maza wako waambie wachome vitumbua uvae kanga zao muangalie hio kombolela.

Hunijui sikujui shostie sasa kuanza kubishana na mdada usiejua kudadavua mpira kwa ufasaha unakuja kuleta michambo ni kitu cha kukuunganisha na takataka tu
Kweli wewe ni takataka pia kashabiki uchwara ka CR7 Unaandika ujinga ukiambiwa ukweli unaleta mambo ya jinsia.
 
Kwani hapo alifungwa nani CR7 pekee au timu nzima? Am CR7 fan not portugal fan, alipo nipo
Ona mwenzio navyoinjoi...
1000059600.jpg
 
View attachment 3627667
Mfano ili group taifa staz tungeshindwa vipi kupita hapa. algeria tushacheza nae sana huyo tunamkazia tunachukua sare. Tunampiga jordan. Huyo austria hata akitufunga point 4 tunapita gruop stage
Unaizungumzia Stars ipi..hii ya Tanzania..tuache unafiki..tulishindwaje kufika Makundi kama Congo?
Msituharibie mpira bwana nyie ficheni aibu zenu mida mingine.
 
Hapa hapakuwa na kadi ila hakuna kelele

Ingekuwa mchezaji wa Argentina ndio kafanya hivi😂sukari zingekuwa juu sana plus essay za kutoshaView attachment 3627926
Nimekuja kugundua kiwango cha chuki kinavyozidi kuwa juu ndio maendeleo hatuna😀😀😀
Kuna mtu anajaribu kutudanganya kabisa eti stars angefika mbali..😀😀😀
 
Back
Top Bottom