Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 26,539
- 61,986
Dakika 9 zimeongezwa
Mwenyewe nilishangaa sana kile alichofanya.Huyo beki mpira wa kichwa yeye kaweka mguu ndani ya box baadae mje mlalamike tunabebwa
Wanasukuma jahazi! Hahahahaha
Hii game ilikuwa nyepesi sijui imekuaje. All in all Argentina anafuzu hiiWaargentina wanatolewa kiutani2 leo
Yan wanacheza kma wanaongoza ivhiHii game ilikuwa nyepesi sijui imekuaje. All in all Argentina anafuzu hii
Messi Leo anafanyiwa zonal markingWaargentina wanatolewa kiutani2 leo
Ukimtoa huyo uko mbele kunakufaKumchezesha Messi dk 120 ni ukatili. Hata kukimbia, hakimbii tena. Kachoka.