Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 11,787
- 20,968
Moto mwingi sana umepelekwa.
😂😂Tutashangilia mwishoni...
Cc; Scars
Martinez aingie, hii game tunapita ndani ya 90mns1-1 swiss wanapata hii game. Argentina ernegy imeisha kabisa.
Tunahitaji sub hapa.
Hawa wachezaji sijui huwa wanavuta bangi. Wanajua kabisa VAR ipo kisha wanaleta ujinga ujinga, hudhani marefa watawaachia.?Haya red huko 😂😂😂
Walisingizia wanaamkia kanisani misa ya kwanza ila GOT anawachanganyaWatu wamelala kesho wakiamka tu Argentina kabebwa😂