Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 53,116
- 132,156
Nadhani una tatizo binafsi la uelewa.Toka mwanzo niliongelea suala la hisia. Alochofanya Molina ni kurudisha Yale ambayo tayari yalishasemwa. Hakuna jipya aliloliongeza hata taarifa yake ya Leo imerudi pale pale, ila hisia zako/zenu ndio zikawatuma kama ni jambo jipya. Hakuna ambacho amesema ni kipya, ndio maana nimekuwekea Hadi media za Argentina na zenyewe zililkalia kooni hilo suala
Kuhusu FBI na Fifa, hakuna popote FBI anaweza kuionea huruma au kuogopa kuihusisha fifa mwanzoni. Punguza hisia na Yale uyatamaniyo
Romain Molina hajasema kwamba yeye ndio muanzilishi wa hii kesi, sio yeye sio mimi niliyosema hivi.
Nini kinafanyika wakati huu kinachoweka utofauti na jinsi ilivyokuwa operated hicho kipindi ambacho ilianzishwa?
Kuna taarifa mpya ambazo amezipata ambazo huko nyuma hazikuwa kujulikana, na kama zilijulikana badi zilikuwa kama tetesi, saizi amepata pa kuanzia.
Ni nini hicho alichopata?
Romain Molina amefanikiwa kupata nyaraka za siri zilizovuja zinazowahusisha FIFA na AFA kuzima kesi ya unyanyasaji kwa ajili ya kulindana kwa interest za kibiashara.
Wapi hujaelewa?