Ngarob
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 940
- 3,148
Kwani goli la kwanza si alipangua ... Au ?Thibaut Courtois asingepangua mpira namna ile. Kuumia kwake kumeiumiza timu.
Kwani goli la kwanza si alipangua ... Au ?Thibaut Courtois asingepangua mpira namna ile. Kuumia kwake kumeiumiza timu.
Mimi siachi kuendelea kuwakumbusha, mnao bet sitaki hata senti yenu.Fainali itakuwa ni
Argentina vs Spain
WC atabeba tena Argentina
Wana bahati au wamepiga mpira?Spain wana bahati sana
Ngoja tuanze na mtoto, baba tunamkanda wa mwisho2022 pia alipangwa na vibonde sio? Ufaransa wenu iliyojaza wageni tukawabutua hahaaaa
Ndiyo madhara ya kutegemea mtu mmojaThibaut Courtois asingepangua mpira namna ile. Kuumia kwake kumeiumiza timu.
KabisaDah.
Mpira sio wa mchezo
😁😁😁wakina ScarsMbuzi Pori katoa povu muda mchache uliopitaView attachment 3626645
Inawezekana.Spain anaweza kumtoa france
Ikumbukwe hiiSpain atacheza na England 3rd place play-off, mshindi ni Spain
Naona utakua umenielewa
Final ni France v Argentina, Argentina anachukua tena ndoo
Chukua barafu hapo kwa mangi kisha lipa mwenyewe
Mzee Ufaransa mstari wake wa mbele una watu wabaya sana.Binafsi namuona Belgium pia ni mzuri kuliko ufaransa, amecheza vizuri
Semi tunam