2026 FIFA World Cup - Special Thread

2026 FIFA World Cup - Special Thread

Haya comment za wanao jua mpira hizo hapo 😂😂😄😄😄

Nimechek ile v.clip ya mo Salah kumbe Beki wa Argentina alikuwa Tayari amesha ucheza mpira na mo Salah alikwenda kujigonga kwenye mguu wa beki makusudi

Halafu Kuna wabongo wanadai Ile ni penalty damnit no wonder ccm mpaka Leo Ipo madarakani!!
 

Attachments

  • Screenshot_20260708-130833.jpg
    Screenshot_20260708-130833.jpg
    100.1 KB · Views: 13
  • Screenshot_20260708-131025.jpg
    Screenshot_20260708-131025.jpg
    102.5 KB · Views: 11
  • Screenshot_20260708-131012.jpg
    Screenshot_20260708-131012.jpg
    98 KB · Views: 9
  • Screenshot_20260708-130958.jpg
    Screenshot_20260708-130958.jpg
    101.4 KB · Views: 11
  • Screenshot_20260708-130942.jpg
    Screenshot_20260708-130942.jpg
    114.1 KB · Views: 10
  • Screenshot_20260708-130928.jpg
    Screenshot_20260708-130928.jpg
    102 KB · Views: 13
  • Screenshot_20260708-130908.jpg
    Screenshot_20260708-130908.jpg
    102.9 KB · Views: 12
  • Screenshot_20260708-130821.jpg
    Screenshot_20260708-130821.jpg
    90 KB · Views: 10
Haya Sasa kumbe kwenye game ya cape Verde Argentina pia walinyimwa penalty licha ya refa kucheka VAR lakini aliktaa ,lakini ingekuwa Argentina Ndio wameshika then team pinzani wakakataliwa kupewa penalty pangekuwa hapatoshi humu
 

Attachments

  • Screenshot_20260708-144244.jpg
    Screenshot_20260708-144244.jpg
    164.5 KB · Views: 12
Kocha anataka kutafuta huruma, huwezi kuwa unaongoza goli 2 had dakik ya 79 zinarudi zote na kuongezwa halafu useme umeporwa ushindi kana kwamba Argentina walipewa magoli ya offside au penalt ya bure. Mzee inapaswa amuheshimu Mess nadhani walijisahau wakadhani Mess ni Lukaku. Wao huku Africa huwa wanaonea timu zingine kuanzia timu ya Taifa hadi vilabu lakini sisi huwa hatusemi, leo ufungwe na Mess useme mmenyimwa ushindi, kiliwashinda nini kumzuia Mess asitoe assist na kupiga lile shoot la goal?
Huyu Mzee kaamuaa kutetea kibarua chake kijanja

Mtu unaongoza Goli 2 ndani ya DK 11 unaruhusu wanasawazisha na kuongeza Goli la tatu

Makocha WA kiafrica hawataki kukubali ukweli kuwa wamezidiwa mbinu,Yale Yale ya Senegal na Belgium, Bora hata cabo Verde waliocheza 120
 
Back
Top Bottom