2026 FIFA World Cup - Special Thread

2026 FIFA World Cup - Special Thread

Kylian Mbappe ataifikia record ya Messi na kuipita
Tena kwenye tournament hii hii

Angalia gape la idadi ya mechi
FB_IMG_1782159925016.jpg
 
Hii Senegal sijui itakuwaje hapo saa tisa jamani?na hivi naipenda!
Kwann iliangukia kundi gumu hivi?
 
Peter Schmeichel anasema goli la Messi halikutakiwa kusimama kwasababu kulikuwa na faulo wakati wa build up

Hadi ma legend wameanza ku doubt.

FB_IMG_1782161317291.jpg


Meanwhile kwenye VAR room
FB_IMG_1782161202034.jpg
 
Swali lililo sahaulika

Penalty?......Pessi
 
Back
Top Bottom