hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 54,396
- 80,367
Hawa wata faint 😆😆Mnajua mtapata presha na kisukari kwasababu ya kumchukia MESSI 🐐, shauri yenu nishawaambia Fainali itakuwa ni
Argentina vs Spain
Na MESSI 🐐 anabeba WC back to back.
Hawa wata faint 😆😆Mnajua mtapata presha na kisukari kwasababu ya kumchukia MESSI 🐐, shauri yenu nishawaambia Fainali itakuwa ni
Argentina vs Spain
Na MESSI 🐐 anabeba WC back to back.
Greatest Of All Time uko na furaha sana. Next ni swiss, then chamdomo England. Nawaombea.Update: if Messi wins world cup he is winning the Ballon D’or again
This is not information. Its a warning 😂😂
Yule mwarabu fighter aliumia akaomba kutoka ila jamaa linajua boli maana alikuwa anawakimbiza sanaMIsri waache kulialia. Shida ilianza pale sub ya Haissem Hassan kupumzishwa. Mara nyingi nalaumu sana makocha kwa kufanya sub za hovyo wakati timu inaongoza.
Tuliona hivyo kwa ivory coast, tuliona hivyo kwa senegal na jana tumeona kwa Misri.
Wote waliongoza mpaka dk ya 86 zikapigwa comeback wakaondolewa. Misri jana wamecheza kwa nidhamu ya hali ya juu mpaka dk ya 79 ndio mambo yakaanza kubadilika. Wakaruhusu bao na baada ya dk 4 wakaruhusu bao la kusawazisha. Dk92 wakamaliziwa. Hata kama wanasema Argentina walibebwa, walishindwa nini kuzuia na kulinda zile goli mbili walizokuwa wametangulia?
Waache malalamiko.
Yap!Kubebwa kuna weza kuathiri maamuzi ndani ya uwanja kisaikolojia na ukaruhusu magoli
Naam 📌Ingekuwa AFCon Misri wangekuwa wanapoteza muda sana, hizo Sheria- za fifa zije na huku nahisi ndio utakuwa mwisho wa timu za kiharabu
Mnabebwa hadi sio poaDaily mnasema hivyo hivyo 😆
Ndio kawaida ya binaadamuIn 2014, when Argentina lost the final, nobody said Messi was carried. In 2022, when he lifted the World Cup, suddenly it became 'rigged' or 'carried.' Now Argentina reaches another quarter-final, and it's the same story again. Funny how the narrative changes when Messi wins. 🐐🇦🇷
#Hallelujah!!!
View attachment 3624961
Pole sana 😄Mnabebwa hadi sio poa
Sitaikubali hii pole mpaka timu infantino iage mashindano haya tena kwa aibu na mbuzi waoPole sana 😄
Sasa Ronaldo atapiga vipi penalty in WC wakati li team lake huwaga kufika robo tu wanafika Kwa bahatiKatika mashindano yote yaliyowakutanisha Messi na Ronaldo. Messi anashikilia rekodi ya kupiga penalti nyingi.
Laliga, Messi amepiga penati nyingi kuliko Ronaldo.
UEFA, Messi amepiga penalti nyingi kuliko Ronaldo.
World Cup, Messi anaongoza kwa kupiga penalti nyingi.
Hizi ni stats ambazo huwezi kuona mashabiki wa Messi wakiziongea
Wivu na uchawi vimetawala bongo zao ni mazwazwa haswa.Ndio kawaida ya binaadamu
Binaadamu wabaya sana 😄
Wewe huoni hata huko uswahilini mtu anaweza kujiolea mke wake halafu waja wakaanza kusema mke wa jamaa ni mbaya , waja hao hao ukikaa bila ya kukuona na mwanamke watasema wewe ni hanithi
Cr7 alivyo futiwa kadi nyekundu ili aendelee kucheza kwenye mechi za kutafuta ticket ya kucheza WC mbona hatukusikia milio!? 😄😄Sitaikubali hii pole mpaka timu infantino iage mashindano haya tena kwa aibu na mbuzi wao
Hiyo aiondoi ukweli kuwa mnabebwa full stopCr7 alivyo futiwa kadi nyekundu ili aendelee kucheza kwenye mechi za kutafuta ticket ya kucheza WC mbona hatukusikia milio!? 😄😄
You guys mna trauma sio Bure
Nyie wenyewe wajukuu wa kikongwe penaldo mnafurahi kimya kimya kuona MESSI 🐐 anabebwa na anabebeka 😂🤣 sasa utambeba penaldo mifupa imekomaa hawezi hata kupiga Kona/faulo.Hiyo aiondoi ukweli kuwa mnabebwa full stop
Ronaldo hajawahi kubebwa anayebebwa anajulikana na dunia nzima inashuhudiaNyie wenyewe wajukuu wa kikongwe penaldo mnafurahi kimya kimya kuona MESSI 🐐 anabebwa na anabebeka 😂🤣 sasa utambeba penaldo mifupa imekomaa hawezi hata kupiga Kona/faulo.
Raha ya kubebwa ubebeke,
Ilikuwaje akafutiwa red card !?Ronaldo hajawahi kubebwa anayebebwa anajulikana na dunia nzima inashuhudia