NkumbiSon
JF-Expert Member
- Sep 22, 2013
- 2,573
- 3,665
Watakua Catalunya huko.Mmh
Whr is Spain??
Watakua Catalunya huko.Mmh
Whr is Spain??
Mpira una maajabu yake, hamna aliye amini kama Paraguay wangemtoa mjerumani.Yani lukaku amfunge spain vp kuhusu morocco kumtoa France
Bwashee unatokea njombe sehem gani?
Kumbe ufaransa na England wapo njia moja , kukutana fainali haiwezekaniBila shaka Bia ipo kichwani muda huu Bwashee,
Kombe linarudi kwa mwenyewe.
Katika mashindano yote yaliyowakutanisha Messi na Ronaldo. Messi anashikilia rekodi ya kupiga penalti nyingi.Messi ana mabao 672 Barcelona, na mabao 122 Argentina yote alibebwa...?
Ronaldo ana mabao 186 ya penalty..
Messi ana mabao 116 ya penalty...
Sasa jitafakari nani alibebwa zaidi..
Kama Dunia una maanisha Argentina na mashabiki wa Messi basi sawa.😀 hakuna kitu kama hicho Mkuu.
Kwa mpira wa jana hakika Dunia imefurahi.
Wachukue madesa kwa Morocco..hakuna kulemba mwandiko..piga nikupige..watu wana uchu na magoli..MIsri waache kulialia. Shida ilianza pale sub ya Haissem Hassan kupumzishwa. Mara nyingi nalaumu sana makocha kwa kufanya sub za hovyo wakati timu inaongoza.
Tuliona hivyo kwa ivory coast, tuliona hivyo kwa senegal na jana tumeona kwa Misri.
Wote waliongoza mpaka dk ya 86 zikapigwa comeback wakaondolewa. Misri jana wamecheza kwa nidhamu ya hali ya juu mpaka dk ya 79 ndio mambo yakaanza kubadilika. Wakaruhusu bao na baada ya dk 4 wakaruhusu bao la kusawazisha. Dk92 wakamaliziwa. Hata kama wanasema Argentina walibebwa, walishindwa nini kuzuia na kulinda zile goli mbili walizokuwa wametangulia?
Waache malalamiko.
Huyo ndiye GOAT.Mwanafunzi akitokwa machozi ya furaha baada ya kufaulu mtihani wa kidato cha sita kupitia ChatGpt View attachment 3624869
The robbery GOATHuyo ndiye GOAT.
Unaanzaje kushikilia bomba wakati kuna mauzauza ya kukufanya uachie bomba kiulaini.Mwenyewe sasa hivi nimeangalia vizuri review. Refa wanamlaumu bure wao wenyewe wameshindwa kushikilia bomba.
Hamna mauzauza hayo mnayatengeneza nyinyi.Unaanza
Unaanzaje kushikilia bomba wakati kuna mauzauza ya kukufanya uachie bomba kiulaini.