2026 FIFA World Cup - Special Thread

2026 FIFA World Cup - Special Thread

matapeli siku zote wanakushawishi ufikirie kuwa hisia au ushahidi ulio nao mbele ya macho yako sio sahihi, na badala yake uamini kile wanachokwambia wao.

Matapeli pia hukataa kabisa makosa au ushahidi wa wazi unaowaonyesha ili kukulazimisha ukubali matakwa yao.

Mfano Messi ameonekana ana kiwango kizuri kuliko Ronaldo , unaona kabisa Argentina inasonga mbele na Messi anaendelea kupiga nyavu, halafu tapeli anataka kukuaminisha Messi si chochote...

Wewe huwezi kunitapeli..

Ninasimamia kile ninachokiona na kukijua badala ya kubadilisha mawazo yangu haraka pale unapopinga...

Bro, Messi ni Messi tu...

Da'Vinci

Acha utapeli Scars kama umechukia chukua jembe ukalime..
Mkuu pole sana. Kama una muda wa kuchezea bishana na Scars. Humu JF sijawahi kuona sehemu kashindwa kitu anachobishia hata kama wote mnaona kakosea. Jaribu kumfuatilia kwenye mada zingine anazoshiriki utaniambia. Mm humu hua nainjoi tu ubishani wake ila hua sitaki kuEngage kubishana nae maana siwezi kumzidi hata kama najua yupo wrong.
1000052315.jpg
 
Back
Top Bottom