2026 FIFA World Cup - Special Thread

2026 FIFA World Cup - Special Thread

Kocha anataka kutafuta huruma, huwezi kuwa unaongoza goli 2 had dakik ya 79 zinarudi zote na kuongezwa halafu useme umeporwa ushindi kana kwamba Argentina walipewa magoli ya offside au penalt ya bure. Mzee inapaswa amuheshimu Mess nadhani walijisahau wakadhani Mess ni Lukaku. Wao huku Africa huwa wanaonea timu zingine kuanzia timu ya Taifa hadi vilabu lakini sisi huwa hatusemi, leo ufungwe na Mess useme mmenyimwa ushindi, kiliwashinda nini kumzuia Mess asitoe assist na kupiga lile shoot la goal?
 
Kocha anataka kutafuta huruma, huwezi kuwa unaongoza goli 2 had dakik ya 79 zinarudi zote na kuongezwa halafu useme umeporwa ushindi kana kwamba Argentina walipewa magoli ya offside au penalt ya bure. Mzee inapaswa amuheshimu Mess nadhani ijisahau akadhani Mess ni Lukaku. Waobhuku Africa huwa wanaonea timu zingine kuanzia timu ya Taifa hadi vilabu lakini sisi huwa hatusemi, leo ufungwe na Mess useme mmenyimwa ushindi, kiliwashinda nini kumzuia Mess asitoe assist na kupiga lile shoot la goal?
 
Kosa moja la maamuzi linaweza vuruga timu kisaikolojia.
 
Hakuna hicho kitu bwana kwani mpira wameanza kucheza wao? Embu sema sasa pale muamuzi kawaonea nini?
Niseme nini na wewe haujaona , maamuzi mabovu dhidi ya timu zinazocheza na Argentina hayajaanza leo
Screenshot_2026-07-07_213745.jpg
 
Niseme nini na wewe haujaona , maamuzi mabovu dhidi ya timu zinazocheza na Argentina hayajaanza leoView attachment 3624805
Hizo ni fikravza watu dhaifu sana, huwez kufungwa magoli halali ukasema watu wamebebwa wakati hadi dakik ya 78 jana mlikuwa mnafurahia ushindi baada ya Mess kufanya yake mmegeuza lugha.
 
Nakukumbusha tuu, game ya Nigeria na South Africa. Nigeria walifunga goal lakini likaja kukatawaliwa baada ya kuonekana kuna faul alifanyiwa mchezaji wa South ndani ya 18. so Goal lao likafutwa na South wakapewa Tuta.

kuna utofauti gani na hili linalokuumiza?
Sikuiona hiyo mechi ili hili lilistahili penati
 
Katika historia ya kombe la dunia hakujawahi kutokea mechi ikapangiwa waamuzi wote kutoka nchi moja.

Kwa mara ya kwanza tangu mashindano haya yaanze mwaka 1930, mechi kati ya France Vs Morocco itasimamiwa na waamuzi kutoka taifa moja.

Hao waamuzi ni raia wa nchi gani? Jibu rahisi tu, wote wanatokea Argentina.

Another rigged tournament.
View attachment 3624725
Duh!...
 
Back
Top Bottom