adrenaline
JF-Expert Member
- Jun 17, 2015
- 4,581
- 7,751
Kumekuchaa
Ki ukweli nina levels za ushabiki mkuu.Wewe tatzio ni sigara kali, hueleweki.
Ushawahi kuungana nao hao kumsimanga Ronaldo.
Kazi unayo leo, andaa fanta orange ya baridiDuh!...yamefika huku?..
Sasa kama huna macho utaonaje mzee wassira?Sioni ni namna gani Argentina watachomoka hapa...Misri wanauwezo wa kujilinda. Namwonea huruma Messi.
Mashabiki wa CR7 veeeepeeeèe
💪💪Egypt 🇪🇬
Nani atokeKuna timu inacheza pungufu ila hawajijui
Hebu nyooka mkuu unataka nani ashindeKi ukweli nina levels za ushabiki mkuu.
Na kama umenifuatilia vizuri! Mimi ni Anti- Messi (Argentina).
Hakuna mahali popote nilipowahi kutaka Messi ashinde.
Lakini sio kigezo pia chakutaka Ronaldo ashinde.