2026 FIFA World Cup - Special Thread

Wewe ni kadogo kangu
 
Sizani kama france anabeba kombe hili kombe linaenda tena amerika kusini
Kwa mfano nani ?

France akifanikiwa kumtoa Morocco, ana chances za more than 65 % to win the cup

Kwa sasa wana kikosi kizuri kuliko kilichopita

Egypt wamejivuruga, i think being African country ni Tatizo , how come hawakuweza ku hold 13 min tu ….very disappointing …….kuna namna pia kocha wao amekosa basic experience ya game kubwa —— kama kocha angekuwa Mourihno kazi ilikuwa imeshaisha zaman

Nimeumia sana
 
Yeah, ila Refa kapeta ngoja tuone watawabeba mpaka hatua gani
Ishu sio kubebwa….. Egypt had chances za kuingia robo…. Ni kocha wao alishindwa namna ya ku figure out kulinda goli mbili…. He chose to play …. That was a big mistake

Kuna game alicheza Mourihno na Barcelone nadhan ilikuwa Intermilan…… hiyo game hadi Eto alikuwa anakaba kama beki … hadi 90 min zikaisha na hao kina messi walikuwepo

Kocha hakuwa smart kuheshimu ushindi na kumuheshimu mpinzani

Miaka 4 ni mingi sana
 
Huwezi ku rule out kuwa kulikuwa na foul kwenye build up kuelekea goli la 3 La team fifa, wanabebwa sana hiyo ipo wazi
 
Ngoja tuone itakuwaje mkuu misri wameyumba wenyew tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…