Maana yake nn mkuu bado sijakupataPlaying victim card anatuoneshea fake sympathy ili kuficha biggest robbery in football history
View attachment 3624534
Hawa ni wehu achana nao 😂😂😂😄Refa alikuwa Fair hamna kubebwa, mimi nimeangalia current performance ya Colombia na Argentina ,Colombia wapo vizuri . Salah kazingua mwenyewe, Julian alicheza mpira kwanza na ukawa out of control upande wa Salah. Salah kwanza alikuwa na option mapema ya kupiga pasi au krosi anastahili lawama. Lisandro kweli kakanyagwa so ni faulo.
20 yng imeend ,Ani ineliwa chini ya dk40 na ujira wa afande ulivo mgumu mamamake salahWana wa Israeli wamerudishwa jangwani,
Argentina ni noma!
Dada mambo😋Kuna wale team naniii mlijua kutawala hapa kipindi Misri wanaongoza...
Sasa hivi siwaoni😀😀😀
2010 upo shule ya msingi!Mechi ya kwanza ya mpira kuumia maumivu makali ni Man U Vs Barca 2010 kama 11 kama sikosei enzi hizo nipo shule ya msingi , napenda Man U kuliko kitu chochote Duniani siku hiyo nilipata tabu sana na ukawa mwanzo wa kumchukia Messi.
Yanga na Mamelodi sikuamini eti mtu mzima nishindwe kulala kisa maumivu ya mpira dah! maumivu yalidumu kama wiki mbili mpaka nikasahau , tokea siku hiyo mpaka leo kama nimeacha hata kuangalia mechi za Yanga . Mpaka Leo haijalishi Yanga anacheza mechi gani hauwezi kunikuta natoa hela yangu kwenda Banda umiza kucheki na kuifuatilia kama zamani .
Sasa maumivu ya mpira sina kabisa baada ya depression nilipunguza kama sio kuacha kabisa ushabiki , sasa nacheki mechi moja Moja tu au michuano muhimu kama burudani tu na sio kama shabiki kindakindaki wa kuumia kama zamani
Mme bebwa tuTuelezee tu mkuu tutajitahidi kuelewa
Anajiliza ili kuhadaa watu wamhurumie waoen kama ni matokeo waliyopata kwa upambanaji ili kuficha uharamia waliofanyiwa EgyptMaana yake nn mkuu bado sijakupata
Hope umemuona the real GOAT , sio yule wenu wamchongo mechi 5 goli 3 😄Hongera sana
Daaah ila we jamaaaAnajiliza ili kuhadaa watu wamhurumie waoen kama ni matokeo waliyopata kwa upambanaji ili kuficha uharamia waliofanyiwa Egypt
Hakuna madhambi kaka yule Salah alijidondosha acheni kutafuta sympathy 😄Build up ya goli la tatu la Argentina kulikuwa na madhambi yalifanyika mkuu
Wote tumemuonaShukrani sana
Hope umemuona the real GOAT , sio yule wenu wamchongo mechi 5 goli 3 😄
Kashikaji kasenge sana haka,yan kanakataa gori la wazi kabisa la misri aiseeWote tumemuonaView attachment 3624552
FIFA walipanga jamaa achukue back to backKashikaji kasenge sana haka,yan kanakataa gori la wazi kabisa la misri aisee