comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,585
- 17,749
Argentina nipigie PAIPU hao mafirauni mpaka nifurahi.Proved Muulize comrade_kipepe tangu ameanza kuwachukia waarabu amepata faida gani??? Akiwachukia, akiwabagua na kuonyesha roho mbaya haiwapunguzii chochote,, kama ni hela wanazo, sasa ukiwasusia ama kuwachukia itakusaidia nini 😄😄
Mwanaume unaonyesha hisia kwa mwanaume mwenzio kweli!!!! hahaaaaa aibu gani hiyo!!!
Mwilage lolo mami