2026 FIFA World Cup - Special Thread

2026 FIFA World Cup - Special Thread

Build up ya goli la tatu kulikuwa kuna faulu ilichezwa ila refa alipeta ni kama walivyolikataa lile la misri baada ya kutokea rabsha kwenye build up ile refa aliiona ila kwa hii ya Argentina refa alijidai hakuona
IMG_0708.jpeg
 
Uligongwa mpira kwanza ukaenda direction tofauti na anayoelekea Salah
Matako yule nimeliwa 20 kijng sn
 
FIFA for MESSI
Refa alikuwa Fair hamna kubebwa, mimi nimeangalia current performance ya Colombia na Argentina ,Colombia wapo vizuri . Salah kazingua mwenyewe, Julian alicheza mpira kwanza na ukawa out of control upande wa Salah. Salah kwanza alikuwa na option mapema ya kupiga pasi au krosi anastahili lawama. Lisandro kweli kakanyagwa so ni faulo.
 
Back
Top Bottom