T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 13,924
- 47,171
Vipi bado unachukia Waarabu?Yanarudi
Vipi bado unachukia Waarabu?Yanarudi
Unapoza maumivu ya yule Mbuzi bila shaka.Goaaaaaal...
Tangu world cup ianze leo nimeshangilia sanaa
SanaVipi bado unachukia Waarabu?
Watu weuweeeeHahahahhahahaaahahahhahaha kumamamamammaamakeeeewww
Naona mnazidi kuchomekwa tuKuchomoa gori
Kombe linapendeza lisipokuwa na wenye nalo. Mwendo uwe hivi hivi wa kustaajabisha.Sana
Pole in adv 😘Duh!..
Beki ya kulia chiefHii beki tatu ya Misri ipo vizuri.