Kabisa 😂😂😂Wakubwa waheshimiwe 😂😂
Meza panadoNimeumia sana kweli leo daahh
Ni sahihi, yananikuta sasaNimeani mpira ni chanzo cha depression kama usipokua makini.
Inauma sanaBinafsi nimeumia sana
Waarabu wa Mang’ulaWaarabu mbona siwaon?
Bora wewe umechagua furaha kuliko stress tunazopewa na timu zetu za KiafrikaNi kweli Ses japo mie leo sikutaka maumivu nilisimama na Argentina.
Sikutaka maumivu ya kujitakia.
Hii Argentina tia maji tia maji haifiki fainaliBado mapema chief ...
Ahsante sana mkuu, hongera na weweBro tokea mpira unaanza ni mimi na wewe tulikua Argentina wengine wote walikua upande wa asalamalekooo
Hongera sana kwa ushindi huu 🫂
The greatest Of All Time
Mimi nilishindwa hata ku'like wala ku' comment chochote hapa....Walijua kunitia kitumbo joto🤣🤣🤣
😃😃😃 na kina PalacBro tokea mpira unaanza ni mimi na wewe tulikua Argentina wengine wote walikua upande wa asalamalekooo
Hongera sana kwa ushindi huu 🫂
The greatest Of All Time
KabisaaaHii Final inabidi wacheze Argentina na Morocco.