2026 FIFA World Cup - Special Thread

2026 FIFA World Cup - Special Thread

Mbona hii kakosa?
Tumsifie na kipa Shouber kwa namana alivyoicheza ile penati na hata kufanya saves zingine za hatarii

Huyu dogo baba yake Ahmed Shouber alikua kipa wa National Al Ahly. Mwaka 1985 alikua golini Uwanja wa CCM Kirumba Mwanza alipotunguliwa magoli mawili na Mtemi Ramadhani na Zamoyoni Mogella Simba iliposhinda 2-1 kwenye CCl
 
Mashabiki wa yanga wasome hii 😀😀
 
Ila tuseme ukweli mpira wanaocheza Argentina ni wakawaida mno ni vile tu safar Yao wamekutana na kitonga.

Hivi Kuna uwezekano wa Spain na France kukutana fainali?
 
Matajiri wa Adidas tunakikao na infantino muda huu 😡😡😡😡

Argentina anafuzu bado penalty kama mbili na red card 1
Argentina akitoka Fainali itakua haina amsha amsha. Do something president. Abeeeeeeeggg
1000058645.jpg
 
Back
Top Bottom