Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 30,095
- 41,710
Dadeki😄😃Mapumziko Egypt wanaenda kusoma Ayatul Kursiyu za kutosha
Dadeki😄😃Mapumziko Egypt wanaenda kusoma Ayatul Kursiyu za kutosha
Kwenye hii world cup upo wap sasaHapa mimi sina kilio.
Misri ni timu ya nyumbani,
Argentina siyo timu yangu lakini pia mi ni team Messi.
Chochote kitakachotokea sina shida nacho
Wewe km mimiNatamani hii world cup ishinde nchi mpya ambayo haijawahi kabisa kubeba....Lakini nkiangalia team zilizobaki naona hilo haliwezekani kabisa
Hii WC mpira ni wa kawaida bara la Ulaya na America. Improvement ni kwa bara la Africa tu.Ila tuseme ukweli mpira wanaocheza Argentina ni wakawaida mno ni vile tu safar Yao wamekutana na kitonga.
Hivi Kuna uwezekano wa Spain na France kukutana fainali?
Kwa sisi wanaume kwenye situation kama hiyo tunashikilia mmbupu zetu, nyie wanawake mnashikilia nini...Refa nae tano zote mfyuuuuu!
Go Misri goooooo
Ni kweli Messi kukosa Ubingwa siyo shida sana maana tayari wameshapata hiyo.Messi leo anarudi nyumbani lakini hana hasara sana tayar ana world cup
Nyonyosss😄😄😄😄😄😄Kwa sisi wanaume kwenye situation kama hiyo tunashikilia mmbupu zetu, nyie wanawake mnashikilia nini...
Ila tuseme ukweli mpira wanaocheza Argentina ni wakawaida mno ni vile tu safar Yao wamekutana na kitonga.
Hivi Kuna uwezekano wa Spain na France kukutana fainali?
Ni kweli ni ingekuwa hivyo,Natamani hii world cup ishinde nchi mpya ambayo haijawahi kabisa kubeba....Lakini nkiangalia team zilizobaki naona hilo haliwezekani kabisa
Ufaransa mzeeKwenye hii world cup upo wap sasa
Bro upoHivi waarabu kwanin wasianze ile michezo yao ya kupoteza muda