joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 19,394
- 41,507
Lisandro Jeba ila beki mzuri.
Wewe tatzio ni sigara kali, hueleweki.Pole mkuu.
Leo furaha yetu itakuwa moja.
Usiogope
Messi leo anarudi nyumbani lakini hana hasara sana tayar ana world cupSioni ni namna gani Argentina watachomoka hapa...Misri wanauwezo wa kujilinda. Namwonea huruma Messi.
Mashabiki wa CR7 veeeepeeeèe
Sasa kama Afcon tu mnaona ngumu, World Cup je?Leo Argentina wamepatikana duuh
OkWC nilotazama ni kuanzia 2010. Kwingine nawaona Copa America.
Wasitegemee ufala wa SenegalNa walivyo na nidhamu Egypt leo mbona Messi atalia tu mshenzi yule kikaragosi
Daah 😂 😂 😂Furahia mapema kabla hujahuzunika
Pole sanaTanesco mafara sana
Duh!...yamefika huku?..Na walivyo na nidhamu Egypt leo mbona Messi atalia tu mshenzi yule kikaragosi
Hao sio mazezeta kama wamatumbiWasitegemee ufala wa Senegal