King faisal
JF-Expert Member
- Jun 7, 2022
- 2,349
- 6,092
Mafarao wameanza upuuzi. Ndio maana huwa napenda makocha kama hans flick. Yaani ni kupeleka moto mwanzo mwisho bila kujali uwe umefunga au umefungwa.
Wana timu zao wanazozioneaWaarabu wanajua mpira chief usiwachukulie poa...
Tulia chief bado asubuhi kabisa...Tunaongoza wakuu
PoleMe ni Team CR7 mkuu
Jamaa ana majivuno yaani bora afunge free kicks kuliko penaltiesKiburi gani, acha kumpaka Mafuta bana, Sema tu kashindwa
Naangalia kupitia simu KakaNaomba clip ya goli la Egypt mkuu au umeshapost?
Atafanya jambo?Hata Gianni Infantino naye anaona hivyo hivyo
Mfano Uholanzi sio...Wana timu zao wanazozionea
Hapo mbele kuna De Paul na Alvarez ndio wasumbufu. Messi bado hajashika hatamu.Misri wawe makini na haka kamdudu ni hatari sana kumuacha aki dribbling mpira free na kulenga goli la kipa.
Otea otea, mpata mpatae footballMfano Uholanzi sio...
Pole na wewe mkuu kilio chako hakipo mbali sanaPole
Hili lipo wazi.Hawa Misri tunawafunga vizuri sana, hatuhitaji mashabiki dhaifu
Ndio waumie itakuwa nzuri.. itanyamazisha kelele wanazopiga za CR7.Wapare wanakuchora tu kwann wapareee🤣🤣🤣😂😂😂. Tatizo huyu waargetina atawaumiza mashabiki wake vibaya sana,wana kamdomo sana. Babe mpya olise kaibuka natamani aje Real Madrid