Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 52,691
- 130,514
Lamine YamalNuno Mendez out😭
Lamine YamalNuno Mendez out😭
Alieingia nae sio mchezoLamine Yamal View attachment 3623968
Namuona anachezea BenchBruno Leo anatembea sana sio mvivu kila pende yupo naona leo anacheza Kiume kwa kujituma
Mechi zote walizokutana, Man of the match alikuwa Nuno Mendez😁😁😁unashindana na Yamal, lazima utaumia
Tulia kwanza usiseme sana kuna watu walimbetia utawastua.Muda wasogea Spain watapagawa wasipopata Goli
Argentina au morocco tunabebaSijaona timu ya kuchukua kombe hapa 🚮