Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 17,894
- 33,700
Bado Ufaransa lazima atolewe na Morocco
Zile dakika 11 za nyongeza Bellingham alikata moto kabisa.Game of the WC. Huyu ref au wa game ya Brazil will ref the final.
Jude ni jembe na nusu.
Muda utatoa jibu .Bado Ufaransa lazima atolewe na Morocco
Bye bye mwenyeji...Mexico wanamalizia mwendo walipoanzia
Hili wala halihitaji mjadala.Bado Ufaransa lazima atolewe na Morocco
Zama zao za kutamba World Cup zimeshapita..Germany na Brazil inabidi warudi drawing board kujitafakari.
Dunia ilisha badilika,Germany na Brazil inabidi warudi drawing board kujitafakari.
Ufaransa ikicheza fainali ya 3 mfululizo na kuchukua mara 2 itafikia hii record..Na ndo maana walicheza kwenye fainali kwa mara tatu mfulilizo, 1994, 1998, na 2002 na wakashinda kombe mara mbili kati ya hizo tatu.
Sijawahi kuafiki watu wanamuita Carlo ancelot ni kocha BoraHivi mpaka sasa Corlo Ancelotti ni kocha wa brazil 🤔
Their reign is over..Norway wametisha Sana.
Brazil wajifanyie tathmini ya Kina Sana, Wafumue soka lao kivingine Aisee,
Hata wao hawaaamini kama wametoka, wanaliza tu watoto kule Jukwaani.
Hii Sio ile Brazil Brazil.