2026 FIFA World Cup - Special Thread

2026 FIFA World Cup - Special Thread

Na hakuna wanachokifanya huko zaidi ya kutembezewa knuckles tu.

Yaani Morocco akipata goli, sio kama yale mengine. Yeye anajua kudeal na mpinzani ili mtaji wake usipotee..

Sasa wale ndugu zetu, hasa yule aliyeongoza mbili zikarudi zote ndio takataka kabisa kashindwa kumaliza dakika 10 tu za mwisho
Bora yule kuliko walichokua wanakifanya wakongo 😂😂 na ile siku ya senegal vs France ...

Angalia chuma hiko aaah Dima maghreb
 
Back
Top Bottom