Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 52,691
- 130,524
Usikute hiki ndio kiwango chake siku zote na zile siku ambazo alicheza vizuri ilikuwa ni ukamiaji pamoja na motisha.Leo mwarabu kaminywa mbupuz aisee
Usikute hiki ndio kiwango chake siku zote na zile siku ambazo alicheza vizuri ilikuwa ni ukamiaji pamoja na motisha.Leo mwarabu kaminywa mbupuz aisee
Wamekutana na mchezo mgumuMbona hawa Morocco wamekuwa watepetevu!?
Wanachezewa mpira mgumuMorocco wananipa wasiwasi.
Waombe radhi Africa kusini kwa kuwakebehi baada ya kupoteza mbele ya CanadaMorocco wananipa wasiwasi.
Morocco wasipo badili mchezo wanarudi nyumbaniStyle yao ya ukabaji ya kipekee mno hawaachi space hovyo na hawakuruhusu uchezee mpira kwao
Baada ya mechi kama 3 mfululizo kuwa na kadi chache wakamaria wakakubaliana kucheza under kwenye option ya bookings (yani kadi)Yellow cards za kutosha leo. Refa anajiamulia mambo tu
Kubeti ni kazi ngumu sana kipindi cha kwanza kadi tu ni over 4.5Baada ya mechi kama 3 mfululizo kuwa na kadi chache wakamaria wakakubaliana kucheza under kwenye option ya bookings (yani kadi)
Sasa huko waliko watakuwa wanasonya tu.