2026 FIFA World Cup - Special Thread

2026 FIFA World Cup - Special Thread

View attachment 3622606

Mkuu hata Ufaransa ni ngozi nyeusi huwaoni wanavyo kiwasha!!
Na kwa kifupi kwenye fainali za mwaka huu nchi nyingi zimeongea idadi ya watu weusi kwenye vikosi vyao.
Hata zile nchi zilizosifika kwa ubaguzi wamelazimika kuongeza idadi ya watu weusi ili kupata matokeo.
Kama una mtoto ana kipaji cha kandanda n.k peleka nje huko kama uwezo upo, ama kama kuna ndugu zake.. atatoboa vizuri sana huko sio humu kwa waswahili...
 
Back
Top Bottom