2026 FIFA World Cup - Special Thread

2026 FIFA World Cup - Special Thread

6A7252D2-8105-4530-BC73-526B0D64E4C6.jpeg

🇫🇷
 
Refa anawadhulumu Paraguay freekick kupitia handball ya Mbappe badala yake kawapa faida France wapige kona

 
Mbele hakuendeki ni muda wa kujaribu long shot

 
Ukiwa na timu Bora hata wapark bus wanafungika. USA alipiga 4 hao
USA alikuwa rahisi kumfunga kwasababu hakuwa tishio hivyo Paraguay hakuwa na mikakati ya kuzuia sana.

France imecheza fainali, na pia ndio timu inayopewa nafasi ya juu kuchukua huu ubingwa lakini kama haitoshi performance yake imekuwa ni kubwa sana.
 
Back
Top Bottom