Palac
JF-Expert Member
- Mar 29, 2025
- 2,823
- 7,433
Mpira una matokeo ya kuumiza acha muda utimieMorocco vs Canada.
Simple game for Africans
Mpira una matokeo ya kuumiza acha muda utimieMorocco vs Canada.
Simple game for Africans
Kaka! Jana uliingia mitini.He was like " Hey Dad as you can see these boys are tougher than we expected, so could you please give us this thing"
View attachment 3622158
Nilijua ni mechi ya upande mmoja sikutaka kupoteza usingizi wangu.Kaka! Jana uliingia mitini.
Yap!... safari ya kuelekea fainali sio nyepesi...Lakini Argentina pia ana kipengele kikubwa kwa Colombia
Matokeo????
Ila Mtani unajitahidi bana baada ya World Cup unahitaji zawadi.
😂😂😂Mtani hilo chaka litakuumiza
Mi pia huwa naamini hivyo Mtani huwezi kuwa binga kama hujakutana na timu kubwa.Yap!... safari ya kuelekea fainali sio nyepesi...
Nipo hapa karikaoo Ili nishangae hiyo 'parade' ya ubingwa wa Uto..😃😃Mi pia huwa naamini hivyo Mtani huwezi kuwa binga kama hujakutana na timu kubwa.
Hivi upo kweli?
Nicheck basi mi mwenyewe nipo pia. 🤪🤪Nipo hapa karikaoo Ili nishangae hiyo 'parade' ya ubingwa wa Uto..😃😃
Hii timu ukikaba Messi vilivyo hamna kitu