MrKanteChelsea
JF-Expert Member
- May 12, 2019
- 692
- 936
Ni muda toka okt 29 nimerejea tena hapa kufuatilia mbungi ya moto
Pia wakipoteza, wote wanakaba kwa nguvuIla Morocco kwenye kuzuia ni kisanga hawa jamaa...
Na hakuna wanachokifanya huko zaidi ya kutembezewa knuckles tu.Wanakaba mpaka kivuli😂😂😂
DIma Maghreb
Watu weusi wenye chuki binafsi sura zao sijui wanaziweka wapi...
Ni kweli mkuu..Tatizo letu lipo mwenye management na hasa desturi zetu za kuonea aibu uchafu unaofanywa na watu wenye majina.
Naona ashafika robo fainali
Kumbe wewe kaukula shaba..Ni muda toka okt 29 nimerejea tena hapa kufuatilia mbungi ya moto
Kwa hisani ya kampuno ya lenovo wamezitengeneza na kumwaga mapesa kuzitangaza kwa ajili ya matumizi ya kutengeneza maudhui hasa wale wanaofanya live stream za kutembeaAngalia kwenye sikio la mkono wa kushoto,ni camera ndogo sana.
Inasikitisha sana..Upo kama mimi tuu, yaani senegali waniharibia sana
Kwa sasa naona wameshavuka.Kwa nini huamini wakati hii ni 16 bora