2026 FIFA World Cup - Special Thread

2026 FIFA World Cup - Special Thread

kazi wanayo hawa.
Hawa kazi yao ni kumzuia algeria na kumbamiza Jordan chuma nyingi tu ili ampe Austria nafasi algeria atacheza na argentina kwa nidhamu sana na kama akipoteza kwake kumbuka itabidi amuombee njaa argentina akikutana na Austria ila ikienda tofauti basi argentina na Austria wana nafasi ya kupenya katika ilo kundi
 
sahihi kabisa, Austria hawasomeki
 
7c2f038a-6873-4251-a511-be0a80e4f878.jpeg
 
Back
Top Bottom