ukosahihi na akichukua hata hata stafu ili aje achukue mara yatatuNipo na Chama langu ARGENTINA, MESSI analibeba tena hili⚽️⚽️⚽️⚽️⚽️🏆🏆🏆
1 Day to Goooukosahihi na akichukua hata hata stafu ili aje achukue mara yatatu
anatoboa sana mtazame umbolake kuna vitu akipunguza na akaongeza muda wa mazoezi anatoboa leo Ronaldo c ana 41 yupo mashindanoniNgumu sana.
Kwasasa ameshagonga 38.
Next tournament atakuwa na 42...
Atatoboa kweli?
Kwakua talent ipo ikitokea Argentina wamebeba ndooHapo ndio kuna utofauti sasa.
Ronaldo anacheza kwa kuexercise sana.
Messi anacheza na talent.
Hawa jamaa zako hawavuki 32 boraViva England