Kumbe na wewe huiamini Brazil piaNimeyapanga Kabisa.
1. All Africans
2. England
3. France
4. German
5. Portugal
Sasa Morocco unadhani ni muafrica mwenzenu? Anajitanabaisha kama Muarabu na Kuna kipindi yeye na Misri Egypt waliomba kujiunga Umoja Ulaya EU wakakataliwa, eti kisa tu wapo jirani zaidi na Spain,Morocco,Italy,Gilbatar na UgirikiSawa, kila la heri morocco 🇲🇦 awabamize hao wazungu 😄
Hayo yakujiunga sio kweli kabisaSasa Morocco unadhani ni muafrica mwenzenu? Anajitanabaisha kama Muarabu na Kuna kipindi yeye na Misri Egypt waliomba kujiunga Umoja Ulaya EU wakakataliwa, eti kisa tu wapo jirani zaidi na Spain,Morocco,Italy,Gilbatar na Ugiriki
Taifa ambalo lilijizolea umaarufu mkubwa sana kwenye soka hakika nyakati hubadilika haraka sanaHaipo kwenye mfumo wangu kabisa
Tena watolewe mapema tu pamoja na marekani.Haipo kwenye mfumo wangu kabisa
Taifa ambalo lilijizolea umaarufu mkubwa sana kwenye soka hakika nyakati hubadilika haraka sana
Acha chuki mwanaume, kama ubaguzi waafrika wengi tu wanawabagua timu za kaskazini kisa tu waarabu, acheni hizo. Mbona sauzi wanawaondoa wageni na wengine huwafanyia ukatili lakini timu yao ya taifa +mamelodi mnashabikia!Hawa wamorocco wapigwe tuu wabaguzi sana wakifika ata hata robo utasikia sisi tunawakilisha waarabu
View attachment 3603025
Lakini pia, hawa jamaa wakikutana na Timu yenye defence nzuri hakuna watakapoenda.
Ata ingukuwa mie siruhusu msomali nda i ya nchi yangu.View attachment 3603838
Hii habari imeniuma sana.
Wamarekani wataharibu haya mashindano kwa kweli...
MimiNimeyapanga Kabisa.
1. All Africans
2. England
3. France
4. German
5. Portugal
Morocco ni Muafrika atake asitake!!! Uafrika siyo kuwa na ngozi nyeusi. Uafrika ni nchi yako kuwa kwenye Bara la Afrika. Uwe na rangi Nyeusi, Bluu, Kahawia, Kijani, Pinki, Nyeupe, au yoyote ile wewe ni Muafrika.Sasa Morocco unadhani ni muafrica mwenzenu? Anajitanabaisha kama Muarabu na Kuna kipindi yeye na Misri Egypt waliomba kujiunga Umoja Ulaya EU wakakataliwa, eti kisa tu wapo jirani zaidi na Spain,Morocco,Italy,Gilbatar na Ugiriki
Sahihi kabisa.Morocco ni Muafrika atake asitake!!! Uafrika siyo kuwa na ngozi nyeusi. Uafrika ni nchi yako kuwa kwenye Bara la Afrika. Uwe na rangi Nyeusi, Bluu, Kahawia, Kijani, Pinki, Nyeupe, au yoyote ile wewe ni Muafrika.
Kuwa Mwarabu, Mbantu, Mzungu (kama wale wa Afrika Kusini, Zimbabwe, Namibia, Mozambique, Cape Verde) na wengine haibadili kuwa wewe siyo Muafrika.
Ndiyo sababu hata kucheza World Cup alishindana na mataifa mengine ya Bara la Afrika na siyo nchi za Bara jingine.