BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,554
- 9,238
Kama ulicheki goli la giuliano simeon mtoto wa el cholo ni bonge la goliSwadakta kabisa...
Nilikuwa nacheki review ya game yenu vs Honduras hapa.
Anyway mna timu nzuri.
Kama ulicheki goli la giuliano simeon mtoto wa el cholo ni bonge la goliSwadakta kabisa...
Nilikuwa nacheki review ya game yenu vs Honduras hapa.
Anyway mna timu nzuri.
Mtani kwenye hili tutakuwa sambamba yaani kila tunayoikubali ikitoka tunahamia kwingine mpaka ikifika final tunakuwa na moja pendwa pia. 🤣Nahamia German
FIFA World Cup sio NBC Premier Legue mkuu. FIFA wanaenda na waamuzi wanaojitambua sio hawa vikaragosi wa TFF akina Arajiga na Victor Mwandiko.Ukiona hivyo ujue viongozi wetu wa TFF hawajui kusemea watu wao.
Kabisa lakini process za kuwachagua huwa zinaanzia kwa viongozi wa ndani...then CECAFA then CAF so kina Karia wanamchango mkubwa kuwatoa Waamuzi wetu wa Ndani.FIFA World Cup sio NBC Premier Legue mkuu. FIFA wanaenda waamuzi wanaojitambua sio hawa vikaragosi wa TFF akina Arajiga na Victor Mwandiko.
Hawa wamorocco wapigwe tuu wabaguzi sana wakifika ata hata robo utasikia sisi tunawakilisha waarabuSawa, kila la heri morocco 🇲🇦 awabamize hao wazungu 😄
Game ya mwisho ya kirafiki Morocco alimkazia brazil, usiwachukulie pouwaMorroco awezi akatoboa kwa mbrazil mapema sana anakufa
Team zipi unazionaKiukweli mnaoshabikia Brazil msijipe matumaini makubwa sana awamu hii, siioni Brazil Nusu fainali siioni kabisa
Awamu hii kutoa direct answer ni ngumu, ila tutegemee matokeo ya kushangaza sanaTeam zipi unaziona
Kachapika kichovu sanaEgypt kachapika lakini
Pasina mashaka yoyote, - Portugal wanabebaAwamu hii kutoa direct answer ni ngumu, ila tutegemee matokeo ya kushangaza sana