Iran mbona hamleti profile Yao...
Au ndo Mmarekani na Israel kawawekea vikwazo mpaka uku
Wauchape tufurahi sote.Wanaiheshimisha sana Africa hawa viumbe!
Lijikosi likali.
Hii timu huwa ina bahati sana
Kweli kabisa alikosea kabisa kutoa visa first time hapo kweli walikoseaMbona alikuwa na VISA?
Hiki kikosi kazi yao itakua kuumiza wachezaji tegemezi wa timu nzuri ila hawa hawawezi kupisha na France, spain England, Austria ,Netherlands au hata norway katika kuisaka alama 3 world cupGoalkeepers
- Alireza Beiranvand (Tractor, 33) – Captain, experienced World Cup veteran
- Payam Niazmand (Persepolis, 31)
- Hossein Hosseini (Sepahan, 33)
Defenders
- Shoja Khalilzadeh (Tractor, 36)
- Ehsan Hajsafi (Sepahan, 36)
- Ramin Rezaeian (Foolad, 36)
- Milad Mohammadi (Persepolis, 32)
- Hossein Kanaanizadegan (Persepolis, 32)
- Ali Nemati (Foolad, 30)
- Abolfazl Jalali (Esteghlal, 27)
- Saleh Hardani (Esteghlal, 27)
- Aria Yousefi (Sepahan, 23)
- Saman Fallah (Esteghlal, 24)
- Danial Esmaeilifar (Tractor, 33)
- Hossein Abarghouei (Persepolis, 29)
Midfielders
- Saeid Ezatolahi (Shabab Al Ahli, 29)
- Hadi Habibinejad (Chadormalou, 30)
- Alireza Jahanbakhsh (Dender, 32)
- Mahdi Torabi (Tractor, 31)
- Ali Gholizadeh (Lech Poznan, 30)
- Amirmohammad Razzaghinia (Esteghlal, 20)
Forwards
- Mehdi Taremi (Olympiacos, 33) – Star player, third all-time top scorer for Iran
- Amirhossein Hosseinzadeh (Tractor, 25)
- Ali Alipour (Persepolis, 30)
- Mehdi Ghayedi (Al-Nasr, 27)
wataingia kwa jihad na kisasiHiki kikosi kazi yao itakua kuumiza wachezaji tegemezi wa timu nzuri ila hawa hawawezi kupisha na France, spain England, Austria ,Netherlands au hata norway katika kuisaka alama 3 world cup
Bado watashindwa izi nchi zilizoendelea kisoka ni hatari katika soka la kasi na ushindani ila mwafrica akiweza kuungana wakatengeneza timu mbili tatu kwa upepo wa mtu mweusi basi mzungu soka lake litamsalitiwataingia kwa jihad na kisasi
nakubaliana na wewe kabisa, by the way mpira wetu unatumia nguvu sana kuliko akiliBado watashindwa izi nchi zilizoendelea kisoka ni hatari katika soka la kasi na ushindani ila mwafrica akiweza kuungana wakatengeneza timu mbili tatu kwa upepo wa mtu mweusi basi mzungu soka lake litamsaliti
Kuna muda nikimtazama dembele, ukimtazama osmen ,luqman, semenyo ni pumzi tunakubaliana na wewe kabisa, by the way mpira wetu unatumia nguvu sana kuliko akili
Saka, Eze, Kante,Kuna muda nikimtazama dembele, ukimtazama osmen ,luqman, semenyo ni pumzi tu
ana kibarua kigumu sanaMexico. Naona yupo vizuri