Wataiweza wapi?Wataiweza Portugal ya mwaka huu kweli?😅
Wataiweza wapi?Wataiweza Portugal ya mwaka huu kweli?😅
Muujiza wa kwanza kwenye Ulimwengu wa Soka kwa kweli.Robo fainali
Iran vs Marekani
Taifa moja likitoka unaamia jingine sio?Uzuri nina machanguo kadhaa
Acha ndoto za alinacha wewe kundi la ghana kutoboa labda amuombee njaa Croatia na yeye pia amchape pasina hivyo England alama 6 croatia alama 4 au tano kabisa ghana best looserNa watatoboa
Dunia kweli inabadilika germany sasa hivi ina Thiaw tah
Kikosi cha balaa hichiDunia kweli inabadilika germany sasa hivi ina Thiaw tah
View attachment 3603450