Nilitoa hayo maoni baada ya kucheki mechi yao ya Kirafiki mkuu.Katika timu walizokutana nazo world cup walinzi wao walikua dhaifu? Netherlands mbele ya van dijk na wenzie, croatia mbele ya Gvadiol na wenzie, ufaransa mbele ya akina kante, je waliwezaje kuwazuia na kupata magoli hayo!