Kivipi kaka na ikiwa wachezaji 90%+ wanacheza ulayaSoca la africa linabadilika
Ana kuambia ameshaona matukio mengi ya kustaajabisha hakuna jipya
Huu mpira una akisi mambo mengi sana watu hawataki unyongeGen Z kwenye world cup hawataki unyonge sio paraguay wala japan na wengineo ili kombe ni la yoyote hakuna kibonde.
CCM jifunzeni kwenda na wakati mkishupaza shingo litawakuta jambo
Lazima apite, anakutana na kibonde canadaSema Morocco akipita round of 16 anakutana na mamatumbi France robo
Ajabu sionagi huu moto wakiubonda Afcon aisee...
Chuki na maneno mabaya yanasambaa kwa haraka kuliko upendo na maneno mazuri
Hongera broWazee wa Yakuza
Chuki na maneno mabaya yanasambaa kwa haraka kuliko upendo na maneno mazuriView attachment 3618911