Vien
JF-Expert Member
- Mar 6, 2020
- 8,292
- 14,678
Kasome historyNetherlands anakuwaje mjerumani?
Kasome historyNetherlands anakuwaje mjerumani?
Labda uniambie AustriaKasome history
Hard work pays bro!Hongereni bana
Unataka vita na team yetu😀😀Portugal naona hawako mbali
Ndoo ya kuchotea Maji, hiyo watabeba kichwani.Hivi mmefikiria possibility ya ujeru kubeba ndoo mbona haipewi nafasi kabisa
Maumivu ya Morocco kumtoa Netherland hayo.Wazee sasa matusi ya kazi gani...uzi wa mpira huu😀😀😀
Naunga mkono hojaUfaransa apewe tu kombe lake hakuna wa kumzuia
Uholanzi alizidiwa kila kituNasikia Uholanzi walikuwa Wana defend muda wote jw ni kweli?
Yani hapo Morocco anakutana na kibonde hasa, atakipasua lazima labda yatokee maajabuHalafu anakutana na Canada anajibonyezea kizenj