Bufa
JF-Expert Member
- Mar 31, 2012
- 14,340
- 30,739
Niliona Fabrizio akim quote Ancelot kuwa "Neymar ameimarika hivyo anastahili kucheza dakika zaidi ya 15"
So nikajia atampa hiyo nafasi acheze.
kwa game ya leo angeingia angeislow down timu labda kama game ingeenda ET.