Mkubwa wake wa kazi ni yule kipa wa south ***** hatari yuleBONO ana balaa aisee mikono mia
Ulikua sahihiMorocco ana shinda
Hatari sana hawa jamaaEndeleeni kuichukua Morocco timu pekee ya Africa itayofanya vizuri.
Netherland tulikupenda ila Mungu amekupenda zaidi.Wakifika Penalties basi ni lazima Netherland aage mashindano,
Huyu kipa wa Morocco Yassine Bounou ni mdaka mishale wa hatari.
Endeleeni kuwasema Kobaz Maarass nyie 😂 😆Timu mbili nnazozikubali zimetoka, kabak Argentina tu na England kwa mbali
Netherlands anakuwaje mjerumani?Wajerumani wawili wametoka
Netherland
Germany