joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 19,386
- 41,494
Penalty hazinaga mwenyewe japo Neuer mzuri kwenye penalty.
Ngoja tuonePenalty hazinaga mwenyewe japo Neuer mzuri kwenye penalty.
Aahaaaa,kumbe Hadi huku gen z wapoGen Z kwenye world cup hawataki unyonge sio paraguay wala japan na wengineo ili kombe ni la yoyote hakuna kibonde.
CCM jifunzeni kwenda na wakati mkishupaza shingo litawakuta jambo
Aahaaaa,mkuu tutalala kweli mwezi huuImedakwa
Nikitoka hapa naenda kusinzia saa mbili kaziniAahaaaa,mkuu tutalala kweli mwezi huu
Aahaaaaa,poleNikitoka hapa naenda kusinzia saa mbili kazini
Kuna mtu wachezaji Gen Z hawataki mchezoHawa Paraguay mbona upigaji wao umetulia sana
Siwezi kuangalia asubuhi nadamkaAahaaaaa,pole
Morocco utamwangalia?
Pole mkuuSiwezi kuangalia asubuhi nadamka