comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,121
- 16,123
Sisi wafaransa tunamsubiri Morocco huko mbele ya safari, au Argentina, ndio timu za kuitoa Morocco hamna nyingneKwa Mpira wa Canada hakuna maajabu...
Wamorocco wanatalent sana
Sisi wafaransa tunamsubiri Morocco huko mbele ya safari, au Argentina, ndio timu za kuitoa Morocco hamna nyingneKwa Mpira wa Canada hakuna maajabu...
Wamorocco wanatalent sana
Wakajipange upya tu hamna namnaNakubaliana na wewe
Na wao kipigo kinawasubiriBado Uingereza maana kocha wao anajikuta sijui nani
Sahihi hata ivory coast wakikaza tako wanatoboa vizuri tuGermany out
Netherlands out.
Bara Ulaya lina kitu cha kujifunza.
Kuwa na ligi ngumu pekee haitoshi kukufanya kuwa na kikosi kikali cha taifa
Wala sio kuwachukia.Wamatumbi waendeleze chuki zao kama zinasaidia chochote. Kuwashabikia au kuwachukia Morocco hakuongezi/kupunguza chochote kile.
So stressfulHata Mimi hua siwezi kuangalia Penalties.
Kwa hali mchezo namna soka linavyopigwa hata Ufaransa haiko salama.Vigogo wawili wa Ulaya wameondoshwa tayari ...
Je Ufaransa atapita?
Norway akikaza anatoboaWala sio kuwachukia.
Mimi ni mwafrika haswaa...
Sema kuna nchi tatu nina interest nazo.
Mimi ni shabiki wa England 🏴
Ila nina interest na Netherlands (wameaga), Croatia na Norway.
Ajabu Norway wanakutana na Ivory Coast!
England na DRC.
Utata sana.
😁😁😁Malipo hapahapa duniani, wamechana mkeka na wao wametolewa kwa mashindano
Kabisa.Kitu nilichogundua hizi timu zinazoonekana ndogo( underdog) kwenye kila mchezo sio poa kwenda nazo matuta, Ni ishara mbaya Kwa timu giant kuwa hatarini kutolewa hata Brazil asingekaza akapata Goli DK za jioni ilikuwa sage