2026 FIFA World Cup - Special Thread

2026 FIFA World Cup - Special Thread

Don Carlo amezeeka hata angefika nusu fainali au fainali yenyewe. Unahisi ni club gani ingeweza kumpa kandarasi tena. Ndio anastaafu hapa hili kombe lina wastaafu wengi.
Yule ni kiraka wa Madrid mambo yakikorogeka wanamwita na yeye hajawahi kataa kazi
 
Back
Top Bottom