2026 FIFA World Cup - Special Thread

2026 FIFA World Cup - Special Thread

1000770533.jpg

Uwanja wa BMO Field (utakaofahamika kama Toronto Stadium wakati wa mashindano) utakuwa mwenyeji wa jumla ya mechi sita (6).

Ratiba kamili ya mechi zitakazochezwa hapa ni kama ifuatavyo:

Mechi za Hatua ya Makundi (Group Stage)

Juni 12, 2026: Canada VS Bosnia and Herzegovina (Kundi B) Hii itakuwa mechi ya kwanza ya ufunguzi kwa upande wa Canada.

Juni 17, 2026: Ghana Vs Panama (Kundi L)

Juni 20, 2026: Ujerumani VS Côte d'Ivoire (Kundi E)

Juni 23, 2026: Panama VS Croatia (Kundi L)

Juni 26, 2026: Senegal VS Iraq (Kundi I)

Hatua ya Mtoano (Knockout Stage)Julai 2, 2026: Mechi ya Mshindi wa Pili wa Kundi K dhidi ya Mshindi wa Pili wa Kundi L
(Hatua ya timu 32 bora — Round of 32).
 
Back
Top Bottom