Round hii na support Portugal 100%Mshindi wa WC 2026 ni France au Portugal.
Bakongo wote ndugu zetuMayele?
Unatushawishi na nini?Round hii na support Portugal 100%
Kabisa, nimeangalia Kikosi cha Ujerumani na Spain mwaka huu aisee havijachaguliwa vizuri...nafuu kidogo EnglandRound hii na support Portugal 100%
Hawana maajabu hawa waarabuTunisia
White hajaweza kabisaView attachment 3592856
Hili hapa Chama Langu!!
Kama hiki ni kikosi kamili cha England basi kuna mapungufu, Foden, Palmer na Bowen…View attachment 3592856
Hili hapa Chama Langu!!
England hii ndoo wamebeba mara moja tu
🏆 FIFA World Cup 2026 Finals Uzi Maalum.
2026 FIFA World Cup itakuwa toleo la kihistoria la Kombe la Dunia kutokana na mabadiliko makubwa katika mfumo wa mashindano.
🌍 Waandaaji
Mashindano yataandaliwa kwa pamoja na:
United States
Canada
Mexico
Hii ni mara ya kwanza World Cup kuandaliwa na nchi tatu kwa pamoja.
👥 Idadi ya Timu
Timu 48 zitashiriki (badala ya 32).
Jumla ya mechi zitakuwa 104.
Hii ndiyo World Cup kubwa zaidi kuwahi kufanyika.
⚽ Mechi ya Ufunguzi
View attachment 3586820
Mechi ya ufunguzi itachezwa katika Estadio Azteca, Mexico City.
Uwanja huu utaweka historia kwa kuwa wa kwanza kuandaa mechi za ufunguzi za World Cup mara tatu (1970, 1986 na 2026).
🏟️ Fainali
Fainali itachezwa tarehe 19 Julai 2026 katika Uwanja MetLife Stadium, New York City.
Thread Hii Itahusu
Ratiba na viwanja
●Timu zilizofuzu●Takwimu na historia●Habari muhimu za mashindano●Mjadala wa kila hatua hadi fainaliKaribu kwenye special thread ya FIFA World Cup 2026 Finals! 🌍🏆
Azam watarusha hii michuano ?, na vifirushi vitakuwaje kuicheki kupitia azam ?🏆 FIFA World Cup 2026 Finals Uzi Maalum.
2026 FIFA World Cup itakuwa toleo la kihistoria la Kombe la Dunia kutokana na mabadiliko makubwa katika mfumo wa mashindano.
🌍 Waandaaji
Mashindano yataandaliwa kwa pamoja na:
United States
Canada
Mexico
Hii ni mara ya kwanza World Cup kuandaliwa na nchi tatu kwa pamoja.
👥 Idadi ya Timu
Timu 48 zitashiriki (badala ya 32).
Jumla ya mechi zitakuwa 104.
Hii ndiyo World Cup kubwa zaidi kuwahi kufanyika.
⚽ Mechi ya Ufunguzi
View attachment 3586820
Mechi ya ufunguzi itachezwa katika Estadio Azteca, Mexico City.
Uwanja huu utaweka historia kwa kuwa wa kwanza kuandaa mechi za ufunguzi za World Cup mara tatu (1970, 1986 na 2026).
🏟️ Fainali
Fainali itachezwa tarehe 19 Julai 2026 katika Uwanja MetLife Stadium, New York City.
Thread Hii Itahusu
Ratiba na viwanja
●Timu zilizofuzu●Takwimu na historia●Habari muhimu za mashindano●Mjadala wa kila hatua hadi fainaliKaribu kwenye special thread ya FIFA World Cup 2026 Finals! 🌍🏆
Washabikia inji gani love????