2026 FIFA World Cup - Special Thread

2026 FIFA World Cup - Special Thread

Mjini Youtube,

Kuna huyu mwamba kutoka Brasil ambae amenunua Rights za kuonyesha Kombe la Dunia kwenye channel yake ya Youtube.

Na atakuwa analionyesha free. Kupitia channel yake ya CASA TV

Mwamba anaamini kuwa watu eana haki ya kuangalia mechi hii free.
IMG_0311.jpeg
 
Kwenye world cup hii Iran itakuwa inaishi na kulala nchini Mexico halafu inasafiri kwenda kucheza mechi zake za World Cup nchini Marekani.

Hii ni baada ya Marekani kukataa timu hiyo kuishi nchini Marekani wakati wa kipindi cha World Cup.

Jambo hili limeelezwa na Rais wa Mexico.
 
Kikosi cha Panama

Ratiba yao;

🇬🇭 Ghana | June 17
🇭🇷 Croatia | June 23
🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 England | June 27

IMG_0305.jpeg
 
Back
Top Bottom