kiwatengu
Platinum Member
- Apr 6, 2012
- 19,488
- 18,365
Watarusha yote 104!Azam watarusha hii michuano ?, na vifirushi vitakuwaje kuicheki kupitia azam ?
Bei Tsh 28,000 japo wanaweza kushusha zaidi.
Watarusha yote 104!Azam watarusha hii michuano ?, na vifirushi vitakuwaje kuicheki kupitia azam ?
Safi sanaWatarusha mkuu
Kama ni hivyo basi haitaitwa kombe la dunia.Ndio maana huwa napenda mashindano yafanyike Afrika au ulaya kwasababu ya muda.
Ndo zenu hizo.🤣🤣🤣Bakongo wote ndugu zetu