2026 FIFA World Cup - Special Thread

2026 FIFA World Cup - Special Thread

The DR Congo fan known as “Lumumba” who became popular at AFCON 2025 has been included in the official World Cup delegation.

He will be fully catered for; flights, accommodation, feeding, match tickets and all expenses covered. He is also assured of a visa.

The request made by DR Congo players and approved by President Félix Antoine Tshisekedi Tshilombo, has been granted.

This mans dreams have come true. A historic moment showing the bond between the team and its supporters. View attachment 3591148

hii dunia mambo ya kipuuzi hua yanapewa kipaumbele sana
 
1000770514.jpg

MECHI ZITAKAZOPIGWA HAPA NI HIZI HAPA. - Mexico

Juni 11, 2026: Korea Kusini Vs Jamhuri ya Cheki

Juni 18, 2026: Mexico Vs Korea Kusini

Juni 23, 2026: Colombia vs DR Congo

Juni 26, 2026: Uruguay Vs Uhispania
 
1000770524.jpg

Ratiba ya Mechi za Makundi Zitakazopigwa Hapa.

Juni 14: Ivory Coast VS Ecuador

Juni 19: Brazil VS Haiti

Juni 22: France VS Iraq

Juni 25: Curaçao VS Ivory Coast

Juni 27: Croatia VS Ghana.

Mbali na mechi hizo za makundi, uwanja huu utaandaa pia mechi moja ya Hatua ya 16 Bora (Round of 16) mnamo tarehe Julai 4, ambapo timu zitakazocheza hapo zitajulikana baada ya matokeo ya makundi kukamilika.
 
1000770521.jpg

Ratiba kamili ya Hatua ya Makundi hapa Vancouver

Juni 13: Australia vs. Uturuki

Juni 18: Kanada vs. Qatar

Juni 21: New Zealand vs. Misri

Juni 24: Kanada vs. Uswisi

Juni 26: New Zealand vs. Ubelgiji

Baada ya hatua ya makundi, uwanja huu pia utakuwa mwenyeji wa mechi moja ya Hatua ya 32 Bora (Mechi 85 mnamo Julai 2) na mechi moja ya Hatua ya 16 Bora (Mechi 96 mnamo Julai 7), ambapo nchi zitakazochuana zitajulikana kulingana na matokeo ya makundi.
 
1000770525.jpg

Katika uwanja huu wa Gillette Stadium (Boston Stadium)

Mechi za Hatua ya Makundi

Juni 13, 2026: Haiti Vs Scotland

Juni 16, 2026: Iraq Vs Norway

Juni 19, 2026: Scotland VS Morocco

Juni 23, 2026: England VS Ghana

Juni 26, 2026: Norway VS France

Hatua za Mtoano

Juni 29, 2026: Mechi ya Hatua ya 32 Bora (Mshindi wa Kundi E dhidi ya Timu ya tatu bora kutoka makundi ya A/B/C/D/F)Julai 9, 2026: Mechi ya Robo Fainali
 
1000770526.jpg
Uwanja wa Levi's Stadium (unaotambulika pia kama San Francisco Bay Area Stadium kwa ajili ya mashindano haya) utakuwa mwenyeji wa mechi sita za Kombe la Dunia la FIFA la 2026. Mechi hizo zinajumuisha mechi tano za hatua ya makundi na mechi moja ya hatua ya mtoano (Round of 32):

Mechi za Hatua ya Makundi.
Juni 13, 2026: Qatar VS Switzerland (Kundi B)

Juni 16, 2026: Austria VS Jordan (Kundi J)

Juni 19, 2026: Türkiye VS Paraguay (Kundi D)

Juni 22, 2026: Jordan VS Algeria (Kundi J)

Juni 25, 2026: Paraguay Vs Australia (Kundi D)

Mechi ya Hatua ya MtoanoJulai 1, 2026: Mechi ya Hatua ya 32 Bora (Round of 32) (Itakayohusisha mshindi wa Kundi D dhidi ya mshindi wa tatu kutoka Kundi B, E, F, I, au J).
 
Back
Top Bottom